Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akipokea maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa Ujenzi wa Miradi inayojengwa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Zanzibar (ZAA) ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kutembelea na kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akitoa maelekezo kwa Mkandarasi kutoka Kampuni ya (CRJE) wanaojenga jengo la Ofisi Kuu ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) lililopo Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika viwanja vya Jengo la Umoja Jijini Pretoria kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa tarehe 19 Juni, 2024.
Kuelekea Kongamno la Maendeleo ya sekta ya Habari na kikao kazi cha Maafisa Habari wa Serikali, mikutano itakayofanyika tarehe 18 hadi 19 mwezi huu ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Waalikwa nyote manakaribishwa.