Madaktari Bingwa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili wakishirikiana na Madaktari Bingwa kutoka hospitali ya KCMC wanaendesha semina ya siku mbili juu himofilia na seli mundu kwa wataalamu wa huduma za afya kutoka hospitali mbalimbali za kanda ya kaskazini mwa Tanzania.
Hii ndiyo picha ya mwisho ambayo Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipigiwa Tanzania akiwa hai katika Uwanja wa Ndege Dar es Salaam wakati anaelekea Uingereza kwa ajili ya matibabu. Bahati mbaya alifia Uingereza! Ni muhimu tusherehekee uhai na tunu zake kuliko kifo chake.
I received the news of the passing on of former President Kenneth Kaunda (KK) with shock and a deep sense of sadness and sorrow. I convey my heartfelt condolence and sympathies to Your Excellency President @EdgarCLungu, KK's family and the friendly people of Zambia.
Thanks God for another year of my life. I pray for Hod protection, guidance in my action steps and thoughts.
A above all, oraying for health and luck life ahead.
Happy Birthday to me ✌🎂.