๐ Ally Salim amekabidhiwa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) mwezi Aprili, 2023. #WenyeNchi#NguvuMoja
@Allysalimtz Ongeza ubunif katika udakaj unatema sana, ivo nisehemu yakujifunz ili ubadilike mtu anavo kutajia madhaif yako sio kwamba hakupend, no anakupend lakini anataman mabadiliko zaidi il uweze kua bora zaid , mpende anay kukosoa na kukwambia ukweli kwa nia njema ya kukufanya ubadilik