@EduTalkTz Umeandika maneno mengi lakini hujagusa kiini chenyewe kwanini wameamua kuleta huu upimaji kwa darasa la pili. Wala hujafanya tafiti yeyote na kuuliza wadau hususani walimu kuhusu upimaji huu. Kwa kifupi elimu bila upimaji ni kama kusafiri bila kujua unaelekea wapi?
@laukipaji Malezi changamoto sana..labda ku-limit screen time. Ila kuzuia kabisa ni ngumu. Baba kazini. Mama kazini. Mtoto anabaki na binti wa kazi mchana kutwa, hapo ndo shida inaanzia.
@addsjustin@bohny_chengula Back then huyu mshkaji amewahi nifanyia delivery ya samsung edge mkoani. It's was worst experience ever. Simu ilikuwa ina-overheart mno, yaani kama nimeshika kaa la moto. Nilikausha tu. Sijawahi amini mambo ya delivery tena. Nikihitaji kitu bora niende dukani tu.