My Brother, Godbless Lema
No form of slavery is better than another. A slave is a slave, whether domestic or plantation slavery.
As leaders, reformists and activists who believe in diversity, we must be prepared to accept criticism, whether expressed positively or negatively.
Our differences in the approaches we adopt in the struggle for democracy are not a weakness; rather, they reflect the reality of our different perspectives and levels of understanding. Everyone has a role to play and a contribution to make, despite the shortcomings inherent in each of our approaches. Our strategic differences are, in themselves, part of our humanity.
Even among the disciples of Jesus, there were those who were more inclined towards engagement and outreach, such as Philip, while others, like Simon Peter, were more conservative. That is why the Greeks who came from Bethsaida approached Philip to connect them with Jesus rather than going to Peter!
Disagreements and differences between activists at home and those in the diaspora must never make us lose sight of the bigger picture. We must not lose our direction because of our differences.
Our priorities must remain
1. FREEDOM AND JUSTICE FOR TUNDU LISSU.
2. JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF POLITICALLY MOTIVATED CASES.
3.JUSTICE FOR ALL VICTIMS OF INJUSTICE AND OPPRESSION BEFORE, DURING AND AFTER THE GENERAL ELECTION OF 29 OCTOBER 2025.
In the face of these common struggles, where, then, is the justification for all this infighting?
My brother with all due respect Let us engage through ideas and arguments, embrace our differences, respect one another, and never allow personal disagreements to distract us from our common mission.
TRUTH, JUSTICE AND ACCOUNTABILITY ARE THE ONLY PATH TO HEALING OUR NATION.
BAK MWABUKUSI
“Barcelona robbed Chelsea in the UCL”
this is what happened in the 1st leg, pure robbery…they only show you the 2nd leg
“what goes around comes around”
Kuna hali furani ya kusukuma CHADEMA kwenye meza ya SAMIA ya maridhiano,
Bahati mbaya wanaofanya haya wanaona wana akili sana kuliko kila mtu
Mbowe tulimshitukia toka 2021, akafutwa kwenye siasa 2025
this time will be faster, maana uelewa umekuwa kwa kasi sana. VIJANA WA SASA SIO MAFALA
#TajiriLaKihaya
CHADEMA lazima tujifunze kutofautisha UANAHARAKATI na SIASA.
Tukifika mahali tunawaacha wanaharakati watupangie chama chetu kifanye nini, nani awe kiongozi, chama kisimame wapi na kiamue mambo gani, tutakuwa tunakipeleka chama kwenye hatari ya kukiua kwa mikono yetu wenyewe.
Mwanaharakati na mwanasiasa wanaweza kuwa na malengo yanayofanana, lakini majukumu yao si lazima yawe sawa.
Mwanasiasa anawajibika kwa chama, wanachama, sera, wapiga kura na taasisi za chama. Anaingia kwenye uchaguzi, anatafuta ridhaa ya wananchi na anapaswa kufanya maamuzi yanayoweza kubeba chama kizima.
Mwanaharakati, kwa upande mwingine, anaweza kuingia na kutoka kwenye ajenda mbalimbali bila kuwa na wajibu wa moja kwa moja kwa taasisi ya chama. Leo anaweza kuunga mkono CHADEMA kwa sababu anaona chama kinasimamia jambo analoamini; kesho anaweza kukosoa CHADEMA au kuunga mkono nguvu nyingine ikiwa anaona ajenda yake inahitaji kufanya hivyo.
Na hilo si kosa. Huo ndiyo uanaharakati.
Tatizo linaanza pale chama kinapoacha kujenga msimamo wake wa ndani na kuanza kuongozwa na presha kutoka nje.
CHADEMA ni taasisi ya kisiasa. Ina wanachama, katiba, viongozi, vikao, sera na wajibu kwa mamilioni ya Watanzania. Hivyo, maamuzi yake makubwa lazima yatokane na wanachama na mifumo halali ya chama, si kelele za mitandaoni au presha ya watu ambao hawabebi mzigo wa taasisi hiyo.
Na tuwe wa kweli,anayekukosoa si lazima awe adui yako, na anayekusifia si lazima awe rafiki yako.
Wanaharakati wana nafasi muhimu sana katika demokrasia. Wanaweza kuibua matatizo, kuhoji mamlaka, kutetea haki na kusukuma mijadala ambayo wanasiasa wakati mwingine wanaogopa kuigusa. Chama makini kinapaswa kuwasikiliza.
Lakini kuwasikiliza si sawa na kuongozwa nao.
CHADEMA inapaswa kuwa na uwezo wa kuchukua hoja nzuri kutoka kwa wanaharakati, kuzipima kwa sera na misingi ya chama, kisha kufanya uamuzi unaolinda maslahi mapana ya Watanzania.
Pia tunapaswa kuwa waangalifu na ushawishi wa nje. Dunia ya leo ina nguvu kubwa za kiuchumi, kisiasa na kiitikadi zinazojaribu kuathiri mijadala katika nchi mbalimbali. Hii si sababu ya kumshuku kila mwanaharakati kuwa anatumiwa na mtu fulani,lakini ni sababu ya chama kuwa na uwezo wa kuchambua kila ajenda na kujiuliza: Nani anafaidika? Ajenda hii inamlinda nani? Inaendana na misingi yetu? Na mwisho wake ni nini kwa Tanzania?
Hatupaswi pia kuingia kwenye siasa za kuamini kwamba kila anayekuja na fedha, taasisi, NGO au ajenda kutoka nje ana nia mbaya. Lakini vivyo hivyo, hatupaswi kuwa wajinga kiasi cha kuamini kwamba kila ushawishi wa nje hauna maslahi nyuma yake.
CHADEMA inahitaji uhuru wa kimkakati.
Tusijenge chama kinachotegemea personalities za mitandaoni, influencers au wanaharakati maarufu. Watu huja na kuondoka, lakini taasisi inabaki.
Leo mtu anaweza kuwa karibu sana na CHADEMA kwa sababu anaona chama kina nguvu. Kesho akabadili msimamo. Kesho kutwa akahamia chama kingine. Hiyo ni sehemu ya uhuru wake.
Lakini chama hakiwezi kubadili misingi yake kila mtu maarufu anapobadili msimamo.
Chama lazima kiwe na dira yake.
Tunataka CHADEMA iwe chama cha wanachama, sera, taasisi na misingi,
si chama kinachoendeshwa na trend za X.
MWITO WANGU KWA CHADEMA
Sasa ni wakati wa kuchukua hatua, si kubishana tu mitandaoni.
Kwanza, chama kiimarishe vikao na mifumo yake ya ndani ili maamuzi muhimu yafanywe kwa mujibu wa katiba, kanuni na misingi ya chama.
Pili, CHADEMA ijenge utamaduni wa uwajibikaji na hoja, si utamaduni wa kufuata umaarufu wa mtu. Hakuna mwanachama, kiongozi, mwanaharakati au influencer anayepaswa kuwa juu ya taasisi.
Tatu, viongozi wa chama wakumbuke kwamba nguvu yao ya msingi haitoki kwa wanaharakati, influencers wala watu maarufu mtandaoni. Nguvu ya chama inatoka kwa wanachama na wananchi wanaokipa ridhaa.
Niliandika hii posti kuhusu Nchimbi miaka 2 iliyopita. Niliwaambia Watanzania miaka 2 iliyopita kuwa CCM lazma watamuondoa Nchimbi….
I was 100% sure kuwa yoyote ambae ni old school CCM nikimaanisha wenye mentality kama za kina Mzee Kingunge hatokubali hizi siasa zinazoangamiza nchi na wananchi wake…..
MaCCM wa zamani walikuwa ni wadokozi tu ila kuna sehemu ya mioyo yao ilikuwa ina bleed Tanganyika and no money in the world could make them sell out.
Hawa vijana wa CCM ya leo ni mambwa koko, wanaangalia nchi inapukutuka wao wanajali vyeo tu…
Watanzania ile CCM tuliyokuwa tunaijua haipo tena. Ukimuona Mtanzania bado anavaa nguo za CCM, mpeleke Mirembe ana matatizo ya akili huyo….
CCM imekata moto…..
Pole Lissu, Pole Watanzania.
Kilichotokea leo nilikiona mapema na niliongea humu mwezi wa pili ile posti ilivamiwa na Watanzania hapa kwa kuwaambia kuwa Lissu atakuwa na hatia then kimama ataingia ili kujifanya yeye anatoa msamaha wa Rais……
Nilishatoa mchoro utakaochezwa hapa months ago.
What a sad day for Tanzania. But all shall be well
Wakati Watanzania wakiwa na hasira na hofu ya utekaji na huku familia ya Banjoo ikiwa kwenye maumivu makali mnooo hii ndio post aliyoweka Mahita , OC CID wa Arusha huko WhatsApp story, yani kaposti kuonyesha kuwa hajali na hawezi fanywa lolote. Ndo kwanza anacheka.
Niliwaambia huyu ni kama Mafwele wa Arusha na hagusiki maana ndo anatumika na kina Bashite kufanya mauaji Arusha na kwenye maandamano huyu ndio aliongoza mauwaji ya vijana wa Arusha kwa hiyo CCM na serikali yake inamlinda kama wanavyomlinda Mafwele.
Hizo picha zake ni za 2023.
Ila hawa watu, imagine wananchi wanalia na utekaji na mtuhumiwa ndo kwanza anaposti kejeli.
Nimeficha namba yake maana hairuhusiwi kuposti namba za simu za watu. Nimemtumia message.
Sems huyu alikuwa anavuta kile chenyewe kutoka kwa Pablo Escobar , maana kuna vitu anafanya mpaka unahisi sio human being .!
Ile technique ya mpira una bounce halafu anabetua tena juu mmh🙌🏻🙌🏻😀