Ni Kitabu Muhimu Kwa Kila Mzazi Na Mlezi Kuhusu Elimu Ya Mtoto
Kitakuwa Sokoni Tarehe 1/4/2024
Kwa Bei Ya Sh 10000 tu.
Kwa Pre Order 0625521168
Let Make Education Fashionable 🧠
Nisaieni RT Ifike Kwa Wazazi Na Walezi Wote.
If you're not sure what to do with your life, just do something.
Write, record, publish, call, email, network. Anything.
Momentum is always built through action, not thinking about action.
Kurasa
📌Wanaume wengi wanakuaga na tabia ya kutaka kukaa sehemu ambayo wasiotakiwa kiundani Ndio maana badae vilio vinakua vingi Mwandishi anasema CHAGUA ANAYEKUCHAGUA
#Kurasa
Sura ya kwanza
Mwandishi anasema wanaume wanadhani kwamba ipo siku changamoto zake zote zitaisha so anashindwa hata kutenga muda wa kufurahia ubinadamu kumbe changamoto haziishagi zaidi zinaongezeka zaidi na zaidi kulingana na hatua uliyoko
Bro, zingatia sana afya ya mwili wako
Hospitali ni biashara kama zilivyo biashara zingine... maradhi yako ni fursa kwao
Kukutibu kila siku kunawaingizia faida kubwa kuliko kukuponya mazima
@ayubu_madenge Ukisoma kitabu cha Ujamaa Ni Imani : Moyo Kabla Ya Silaha .
Mwl alionesha wazi wazi yeye sio muumini wa vijana waoga waoga ndio maana aliwaambia walimu wamuandalie vijana ambao sio jeuri
“Mimi sikudhani kuwa jitihada zote hizi nilizozifanya nia yake ilikuwa ni kujenga taifa la watu WAOGA sana, haikuwa nia yangu hiyo. Kama matokeo yake ni hayo, mimi nasema mwenyezi MUNGU nisamehe”Mwalimu JK Nyerere
Vitu vingi sana Google ukiSearch kwa kiswahili unapelekwa JF
Kuifungia JF ni kukosesha watu maudhui mengi sana mazuri ambayo walikua wanapata kwa kuSearch google tu.