ุงูุฎุตูุตูุฉ ููุฉุ ูุงููุงุณ ูุง ูุณุชุทูุนูู ุชุฏู ูุฑ ู ุง ูุง ูุนุฑููู
Faragha ina nguvu. Kwa sababu watu hawawezi kuharibu kitu wasichokijua.
ุฅู ุงูู ุฑุก ุฅุฐุง ุญุฒู ุงุณุชุฏุนู ูู ุฃุญุฒุงูู ุงูุณุงุจูุฉ ูุฃู ุญุฒูุงู ูุงุญุฏุงู ูุง ููููู
Mwanadamu pindi anapohuzunika, mara nyingi huibua huzuni zake za zamani, (hufikiria na kuyakusanya matukio yaliyomuumiza miaka mingi iliyopita), kana kwamba huzuni moja (aliyoipata muda huo) haimtoshi.
Raha ya ngozi inuke kidogo.
Ngozi inaoshwa mpaka inanukia Strawberry๐
Ngozi halisi inanuka kaharufu flani hivi.
Kama hainuki hivyo, hiyo ni plastic.
95'000 Tsh
Wanaume hatuishi maisha marefu mara nyingi kwa sababu hatujijali kama tunavyopaswa. Tunabeba mengi mioyoni na akilini mwetu; majukumu, presha, changamoto na maumivu ambayo mara nyingi hatuyaongei.
Lakini kuna tofauti kati ya kujijali na kujipenda. Kujipenda ni kujitambua, kujiheshimu na kujikubali ulivyo. Kujijali ni kuchukua hatua kuhakikisha afya yako ya mwili, akili na moyo iko salama. Mwanaume pia anahitaji kupumzika, kula bata lisiloumiza na kufuatilia afya yake kwa ukaribu.
Usisubiri mwili ukulazimishe kupumzika. Usisubiri ugonjwa ukufundishe kujijali. Kuwa mwanaume si kubeba kila kitu kimya kimya. Kujijali pia ni sehemu ya kuwa mwanaume.
ูุง ุชูููููุฑู ูู ุตูุนููุจูุฉู ุธูุฑูููููุ ููููุฑู ูู ูููููุฉู ุงูุฑููุจู ุงูุฐู ุชุฏุนูู
Usifikirie kuhusu ugumu wa hali yako. Fikiria kuhusu uwezo wa Mola unayemuomba.
Waiting is not easy. We feel exhausted at times, on the verge of giving up. We may even lower our expectations. But we have to press on because only You know when the time is right. Almighty. Keep our faith firm while waiting, trusting You always.
ููุฃุณู ูููุจูุง ูุง ุชุชุนูู ู ู ุงููุตุงุฆุญ ูููููุง ุชุชุนูู ู ู ุงููุฌุน
Kwa bahati mbaya ni kwamba; mara nyingi mioyo yetu haijifunzi kutokana na nasaha tunazopewa, bali hujifunza kutokana na maumivu tunayopitia kwenye maisha.