KODI MPYA ZA MAJENGO KUPITIA LUKU KUANZA AGOSTI 20
Nyumba za kawaida watalipa Tsh. 12,000 na Tsh. 60,000 kwa kila sakafu ya ghorofa
Kila mnunuzi wa Umeme atakatwa Tsh. 1,000 kwa Mwezi kwa Nyumba ya kawaida na Tsh. 5,000 kwa sakafu ya ghorofa
Soma https://t.co/fFc8yKLkDR
#JFLeo