Na Sisi Tunasema Enyi Watanzania, Chukueni Elimu Ya Dini Yenu Kwa Nguvu, Alhamdulillah Karibuni Kila Kona Ya Nchi Ahlul Sunnah Wako Na Wanafundisha Sawa Iwe Mijini, Na Pia Hata Vijijin Watu Wapo Na Wanafundisha Waislaam Dini Yao...
Jitahidi Usiwe Muislaam Wa Bendera Fata Upepo
Miongoni Mwa Madhambi Yaliyofanywa Na Waislaam Kuwa Ni Ya Kawaida, Ni Katika Utaftaji Bas Ni Jambo La Kucheza Kamarii, Kwa Aina Zake Zote... Watu Wajihadhariii Na Kitu....
Kamari Ni Haramu Na Itabak Kuwa Haramu Mpka Kisimamo Cha Qiyamah Kutokea
عَنْ ابْنِ عُمَرَ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا قَالَ: أَمَرَ رَسُولُ اللَّهِ ﷺ بِزَكَاةِ الْفِطْرِ أَنْ تُؤَدَّى قَبْلَ خُرُوجِ النَّاسِ إِلَى الصَّلَاةِ.
📚 رواه البخاري ومسلم
*Mtume wa Allah ﷺ aliamrisha Zaka ya Fitri itolewe KABLA ya watu kutoka kwenda kuswali Eid.*
➡️ Inatakiwa Zaka ya Fitri itolewe KABLA ya Swala ya Eid, na ukiichelewesha mpaka baada ya Swala bila udhuru basi umefanya kosa.
➡️ Wakati bora wa kutoa Zaka ya Fitri ni baada ya kuingia alfajiri ya siku ya Eid mpaka kabla ya Swala ya Eid, na inaruhusiwa kuitoa siku moja au mbili kabla ya Eid.
➡️ Ukitoa Zaka ya Fitri baada ya Swala ya Eid bila udhuru, basi haitakuwa Zaka ya Fitri bali ni swadaka tu.
✍🏼 Abuu Maryam Kambi (Allah amuhifadhi).
https://t.co/zSn1VjMWW1
( Si ruhusa kubadili chochote )
﷽
*Kukariri swalah ya jeneza*
*Swali:* Je, inajuzu kurudia kumswaliwa maiti?
*Jibu:* Kama itatokea hakuna tatizo. Ikiwa tayari wameshamswalia maiti kisha akakutana na watu wengine wanaomswalia tena kaburini, naye akaswali pamoja nao, hilo halina shida wala dhambi. Ni kama mtu anayeswali swalah nyingine kwa kurudia kwa sababu ya sababu ya Kishari´ah. Mfano mtu akiswali msikitini, kisha akaenda msikiti mwingine kwa haja au kwa ajili ya darsa, akawakuta wanaswali, anaruhusiwa kuswali pamoja nao. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ameamrisha hivyo. Hivyo hapana vibaya kurudia swalah kwa sababu ya Kishari´ah.
*Muhusika:* Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
*Tarjama:* https://t.co/Xz5EGHi4BH
*Marejeo:* https://t.co/SGj28QjOBPحكم-تكرار-الصلاة-على-الميت
*Imechapishwa:*
31/01/2026"
https://t.co/zvyIB7SyIo
⤵️https://t.co/RSQnMNruuH
📣 *Raddi ya kielimu kwa Mziwanda dhidi ya Utovu wake wa Adabu kwa kuvunja Heshima za Wake wa Mtume ﷺ | Hakika anastahiki Kutengwa mpaka Utakapotubu.*
Katika Video hii muhimu, *Sheikh Muhammad Nassor Mujahid حفظه الله* anatoa *raddi kali ya kielimu dhidi ya kauli potofu na za kihuni za Mziwanda هداه الله* aliyethubutu kuwadhalilisha na kuwatukana Wake wa Mtume Muhammad ﷺ, Mama wa Waumini, kwa majina yasiyofaa na yenye kukosa adabu.
🗣️ *Mzungumzaji:* Sheikh Abu Abdus-Salam Mujahid حفظه الله
*🔗 Sikiliza hapa:*
https://t.co/BmAjrkh8PU
👉 Usikose kusikiliza na kuwasambazia wengine.
_______________________
📺 *Ungana nasi kupitia:*
Group letu maalum la Markaz: https://t.co/TwJnitYGdL
“Ogopeni dhulma, kwa hakika dhulma ni giza siku ya kiyama. Na ogopeni tamaa, kwa hakika tamaa iliwaangamiza walio kuwepo kabla yenu. Iliwapelekea kumwaga damu zao, na kuhalalisha yaliyo haramu kwao". Mtume Mohamad (S.A.W)
[Mshirkina Hakubaliwi Jema Lake]
Anasema Sheikh Ahmad bin Yahyā An-Najmī [Allah Amrehem]:
"Hakika Ya Allah Amekhabarisha Kuwa Si Mwenye Kusamehe Dhambi Ya Ushirkina, Hivyo Bas Mshirkina Hasamehewi Yeye Dhambi Wala Haikubaliwa Kwake Yeye Jema..."