Everywhere is sifunated na HE ata hayuko Kenya 😂🔥, we are only getting started, tunangoja rally moja safi kutoka JKIA mpaka town sifuna akirudi😂you guys are not ready for us🥳 #LindaMwananchiMovement
Huku DMV mambo ni mwecheche🔥🔥🔥🔥🔥. Leo H. E Edwin Sifuna atapewa kila kitu. Kino inatingizwa huku ni ajabu🔥🔥🔥🔥. Kenyans are shaking nyash here at Park Hotel, Maryland ajabu. Leo ni Leo!