Laiti kama waafrica tungejali asili zetu—huu mmea usingeruhusiwa kufyekwa na kukatwa kama magugu, familia nyingi zingekuwa na bustani kubwa za huu mmea. Ni dawa kuanzia mizizi yake, majani yake, maua yake, matunda yake hadi mbegu zake😊 Ni miongoni mwa miti dawa muhimu zaidi.
Unajulikana kama Sodom apple, jina lake la kisayansi ni “Solanum incanum” hapa Tanzania maarufu kwa jina la mtulatula.— ni mmea wenye uwezo wa kushusha kisukari kwa muda mfupi zaidi, ni mmea uliojipatia umaarufu mkubwa kwa kutibu meno yaliyotoboka.
Mizizi🐲
podophyllum peltatum:
Hutibu saratani ya damu na ya mapafu:
🔬 Jinsi Inavyofanya Kazi Dhidi ya Saratani
Podophyllotoxin ni lignan ya cytotoxic ambayo huingilia kati mgawanyiko wa seli (mitosis), hasa katika seli za saratani zinazokua kwa kasi. Inafanya kazi na:
Kuzuia upolimishaji wa tubuli, kuzuia seli kuunda spindle ya mitotic inayohitajika kwa mgawanyiko wa seli.
Kuchochea apoptosis (kifo cha seli kilichopangwa) katika seli za saratani.
ukiiokosa katika mazingira yako unaweza kuipata kutoka kwangu.
Dm
Magugu ya ufagio (sida acuta) Broomweed, pia inajulikana kama Sida acuta, ni dawa ya asili ambayo imepatikana kuwa na sifa za uponyaji zenye nguvu. Inaweza kutibu kwa ufanisi magonjwa mbalimbali, ikiwa ni pamoja na arthritis, rheumatism, na maambukizi ya njia ya mkojo. Mbegu za broomed ni nzuri sana katika kupambana na UTI.
Matibabu ya asili ya kuzuia nywele kukatika
Majani ya mpera
Majani ya papai
Majani ya mwarobaini
Rosemary
Baada ya kutumia malizia Kwa kupaka hair cream Kisha mafuta ya nywele.
Mizizi ni Tiba🫵
Apps 8 za Kuangalia Mpira LIVE Bila KUTUMIA Bando Kubwa
Unataka kuangalia mechi bila kukomaa na vifurushi? Basi hizi hapa apps za kukupa raha ya mpira bila stress.
Open short Thread 🧵 ⬇️
USIPO NIELEWA HAPA JUU YA MAKUNDI YA DAMU— HUTOKAA UELEWE MPAKA KUFA KWAKO.
Kila binadamu ana damu yenye seli nyekundu ambazo hubeba oksijeni, kabondayoksaidi, viini lishe na maji ya mwilini.
Lakini kuna kitu cha hatari ndani ya seli hizo, Antigen — aina ya protini inayofanya gawanya damu kuwa makundi A, B, AB au O.
Ipo hivi......
↳ Ukiwa na antigen A = Blood Group A
↳ Ukiwa na antigen B = Blood Group B
↳ Ukiwa na A na B = AB
↳ Ukiwa hauna antigen = O
Sasa sikiliza kwa makini...
Kuna pia protini nyingine iitwayo D antigen (Rh Factor)
Nathaniel utakuwa umesha, Group langu la damu Ni A Negative au O positive...Sasa
Ukiwa nayo = damu yako ina + (A+, B+, O+...)
Huna? = damu yako ni - (A-, B-, O-...)
Je, hii (+) na (-) hutokea vipi?
Inatokana na wazazi, Baba anatoa moja, Mama anatoa moja. Mtoto anaishia kuwa + au - kulingana na mchanganyiko huo....
Lakini sasa ndipo panapokuja TATIZO KUBWA....
Mwanamke mwenye damu ya Rh (-) akizaa mtoto wa kwanza mwenye Rh (+) kutoka kwa baba...
Kuanzia mimba ya Mtoto wa kwanza huenda, salama kabsa....Bila shida..
Lakini mwili wa mama hujifunza kumchukia D antigen ya mtoto, baada tu ya ile mimba ya kwanza..
Sasa MTOTO WA PILI akawa na Rh (+) tena...!!
Mwili wa mama unashambulia mimba hiyo kama adui!
Matokeo yake?
Mtoto hufa tumboni au dakika chache tu baada ya kuzaliwa — anapoteza seli nyekundu zote,
Ndiyo maana unakuta mtu, Mimba ya pili ikiingia inaharibika mara kwa mara, Bila kujuwa shida nini blood group....
Usiogope... Kuna njia ya kuzuia hili!
Kama mama atapimwa mapema na kugundulika kuwa na damu ya Rh (-)
Madaktari humsaidia kwa kumpa sindano maalumu baada ya kujifungua na wakati wa mimba zinazofuata....
Hii sindano huokoa maisha ya watoto wake wa baadaye...
Kwa hiyo usione aibu...Pima damu yako kabla ya mimba au wakati wa kuanza kliniki., Inaokoa maisha!
@AloyceIsdory@libogile@grok@PunterPreta123@hm_wa_mtaa Fact bro, ila kwa injini gani, power gani, iyo boat ni ndogo sana, I think haiwezi kubeba hata container moja iliyopo kwenye meli, lengo langu ni kujua tu kaka
UGONI🫵
Kama unahisi mwenzi wako anachepuka na unataka umkamate fanya hivi
chukua majani ya mti huu unaitwa mtungulu
Twanga Mizizi yake upate unga,wakati wa sex shikashika mitambo na huu unga wa Mizizi
asubuhi jifanye kama una kasafari kidogo utachelewa kurudi
kama amezoea hiyo tabia ataenda kwa mtu wake wakianza kusex tu akili yao itawahama na kujisahau watakua wakiongea kwa sauti kubwa huku wakinyanduana pia watanasa😣
Utawafuma
🚨Daaaah 💔🙌🏿 soko la SINGLE MOTHER bado linazidi kuwa gumu Sana. Muwe munakuja kwenye VIKAO vya WANAUME. kama unataka kuoa SINGLE MOTHER hakika mzazi mwenzie kafaa na akuonyeshe KABURI lake. 🚮😎
📌𝑶𝑷𝑬𝑵 𝑻𝑯𝑹𝑬𝑨𝑫 & 𝑨𝑫𝑽𝑰𝑺𝑬 𝑯𝑰𝑴 No. 1/12🍂👇🏿