Leo game ya Brazil na Morocco ni saa 7 usiku. Kama mlidhani njemba zinatania kurudi asubuhi leo ndio ile siku. Kumbuka kesho kuna game inaanza saa 1 kamili asubuhi, hivyo tunarudi kesho saa 4 asubuhi 😁
Ni Mwaka Gani Uliuona Ukuu Wa Mungu Bila Yeye Kusimama Unahisi Ungepoteza Maisha?
Mimi 2013 Niliugua Sana Mpaka Ikafika Hatua Sitaki Kusikia Chochote Zaidi Yakupambana Na Nafsi Yangu Ila Mungu Akasema Nyanyuka Tena💔🙏🏿
Tushee Huenda Kuna Mtu Anapitia Magumu Tuweze Mpa Moyo!