VYETEZO VYA MBAO ๐โจ
Mashallah vikitoa moshi zinapendeza sana ๐๐ผ
bei kidogo 20,000
Bei kikubwa 30,000
Torch mkaa: 25,000 , Oud Upo unachagua uupendao โจ
Call or Whatsapp 0758811121 โค๏ธ๐๐ป
VYETEZO VYA MBAO ๐โจ
Mashallah vikitoa moshi zinapendeza sana ๐๐ผ
bei kidogo 20,000
Bei kikubwa 30,000
Torch mkaa: 25,000 , Oud Upo unachagua uupendao โจ
Call or Whatsapp 0758811121 โค๏ธ๐๐ป
VYETEZO VYA MBAO ๐โจ
Mashallah vikitoa moshi zinapendeza sana ๐๐ผ
bei kidogo 20,000
Bei kikubwa 30,000
Torch mkaa: 25,000 , Oud Upo unachagua uupendao โจ
Call or Whatsapp 0758811121 โค๏ธ๐๐ป
Do we all agree it feels Good Going HOME to a SMELLING GOOD HOUSEโผ๏ธโผ๏ธ
LORIS AIR SPRAYS
Price: 20,000
Available scents: Mint &orange, Fruity n spicy, Oud n yang and Aromatic cinnanom.
Hupendi texture ya nywele zako
Unapata changamoto ya kuwasha ngozi ya kichwa
Unataka nywele ziwe laini na kushine kistar ๐
Set hii isikupite boss wangu, itakutendea maajabu hutaamini โ ๐ฏ
Hapo unapata;
Argan oil shampoo
Argan oil conditioner
Argan oil Mask
Argan hair oil
Kama ambavyo mwili unahitaji chakula tena ambacho ni balanced, basi na nywele zetu ni hivyohivyo.
Mafuta ya argan yana maajabu makubwa katika ngozi na nywele kutokana na virutubisho vilivyomo kwenye mafuta haya.
Kama nywele zako zinakatika
Nywele hazijai
Below for more caption
Fluffy & clean shampoo ni maalum kwa ajili ya kufanya deep cleansing. Tunapokaa kwa muda mrefu bila kuosha nywele mafuta, vumbi ma jasho vinarundikana hivyo shampoo za kawaida haziwezi kuondoa uchafu wote.
Kwa kutumia shampoo hii itawezesha ngozi na nywele zako kuwa safi hivyo.
Hii shampoo maalum kwa ajili ya kupambana na mba na mishasho, na pia inaipa unyevu ngozi ya kichwa na nywele ili miwasho na mba wasioate nafasi ya kutamba, Inakuza nywele,Ina lainisha nywele ,Inafanya nywele zinashine, Haina viambata hatarishikwa nuwele na ngozi yako
Price: 30k
POLISI WAUA RAIA BOARDROOM - SINZA
Sasa nimepata taarifa kamili, jinsi askari wa jeshi la polisi kutoka kituo cha polisi Mabatini, Kijitonyama, Dar es Salaam walivyomuua Razak Azan (29)
Siku kadhaa zimepita sasa, tumesikia kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila akitoa maagizo ya kuwasaka na kuwakamata madada-poa.
Kutokana na maagizo hayo, polisi wa kituo cha polisi Mabatini - Kijitonyama, Dar es Salaam wanekuwa na kawaida ya kufanya doria ilipo Boardroom.
Polisi wakifika hapo, wanaomba pesa ili wasikamate hao madada poa ambao wanasimama nje ya Boardroom. Kama pesa hakuna wanaondoka nao.
Hii tabia imekuwa kubwa sana hapo Boardroom, ikafika wakati walinzi wa Boardroom kwa maagizo ya uongozi wa Bar wakasema imetosha sasa.
Pesa zinatoka kila siku kama vile mshahara rasmi kwa polisi. Jana usiku, polisi walifika Boardroom, wakaanza kukamata hao watu wanaowaita dada poa.
Katika kukamata hao madada poa, wakjikuta wamekamata muhudumu mmoja wa boardroom. Muhudumu akachoropoka na kuingia ndani ya Bar
Polisi wakamfuata ndani ya Bar. Hawakuzuiwa. Wakiwa ndani Meneja wa Bar hiyo anaitwa Frank akawaeleza huyo ni muhudumu. Hawasikii.
Polisi walisisitiza kwamba hayo ni maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila kukamata wanawake wote waliovaa nguo fupi usiku
Askari mmoja akatoka nje, akaingia hari ndani ya gari la polisi, akatoka na bunduki (SMG), akaingia nayo ndani, amenyoosha kwa wateja ndani ya Bar.
Muda wote huo, mlinzi (baunsa) Razaki Azani anaonekana ametulia getini na hajawazuia askari kufanya kazi zao. Aliendelea na shughuli zake za ulinzi
Aakari yule akiwa ndani ya Bar, akanyoosha bunduki kwa wanawake waliokuwa ndani, akafyatua risasi kutoka katika bunduki hiyo aliyokuwa amebeba
Risasi ile ikampiga kichwani Razaki Azan aliyekuwa mlangoni, Razaki akaanguka chini, watu wakataharuki, wakaanza kukimbia kwa kuhamaki
Askari walipogundua wamefanya mauaji, wakaondoka kwa kasi na gari la polisi wakiutelekeza mwili wa Razaki Azan hapo Boardroom.
Wananchi wakamchukua Razaki Azan, wakamuweka katika bajaji, wanamkimbiza hospitali, akawafia njiani kwa sababu ya kuvuja damu nyingi
Mmiliki wa Boardroom akampigia simu RPC wa Kinondoni, alifika eneo la tukio, akoneshwa tukio lote katika CCTV na akaomba kuondoka nazo
Tukio lote linaonekana katika picha za CCTV. Ni bahati nzuri kwamba TUNAZO na zinaonesha kila tukio. POLISI WAMEMUUA RAIA KAZINI KWAKE
Polisi wameshindwa kulinda raia na mali zao sasa wanawafuata raia katika starehe zao na kuwapiga risasi. Polisi wanafanya uharamia kwa raia.
Polisi wanataka kusema uhalifu hakuna ndiyo maana sasa wanawafuata watu katika maeneo ya starehe zao na kuwapiga risasi? Uhalifu hakuna kweli?
Razak Azani aliaga nyumbani anakwenda kazini, kutafuta ada na chakula cha watoto wake, polisi wenye usongo wa kuua wamempiga risasi
Tunaposema tukemee โpolice brutalityโ LAZIMA tuwajibike wote kukemea uharamia huo, asibakie mtu nyuma, maana siku yako ya kuuwawa inakuja.
Utajifanya haikuhusu, lakini polisi watakufuata eneo lako la kazi na watakuua kwa sababu wamepewa uhalali huo na ukimya wako. PIGA KELELE.
Kwa nchi zenye wananchi walionyonya maziwa ya mama zao miezi 24, kesho asubuhi wangeliingia barabarani kupinga mauaji ya polisi kwa raia.
Lakini kwa kuwa tupo nchi ambayo mazombi ni wengi, tutaamka na kusema potelea mbali, uchawi hauendi kwa mentali, mchuma janga anakula na wa kwao
Zamu yako inakuja. Zamu yako itafika. Itakuwa chungu sana na wengine wataka kimyaa kama ambavyo umeamua kukaa kimyaa na kukunja nne.
MMM, Martin Maranja Masese
Namshukuru Mungu ๐๐พkwa maisha ya @MahimbiG Rest in peace dear friend, youโll be deeply missed.
He was more than a friend, more than a work colleague. I shall always remember and cherish the good times and bonds forged during our professional career together at @SmartCodes