Ukweli ni kwamba hakuna mtu atakayekufundisha kila kitu.Kuna mambo lazima upitie,mengine yatakuuma mno,mengine yatakubadilisha.Usiogope kukosea.Ogopa kutokubadilika kutokana na mapito.
Siku ukitoboa,usijiskie vibaya kufurahia maisha uliyoyatengeneza.Watasema umebadilika,lakini hawajui mara ngapi ulionesha uko sawa wakati ndani yako nafsi imechoka.
☆Watu wanaona matokeo,lakini wewe unajua gharama yake.Furahia ushindi wako UMEULIPIA.