Mimi @Mkanza Idd nipo tayari kumuachia Kijana yeyote mwenye UWEZO kuliko mm nafasi zangu zote za uongozi hata kama alikuwa ACT ninacho tamani mm ni kuiona taasisi yetu ya CUF TZ inatimiza malengo yake ya kweli KISERA na KIITIKADI kuwakomboa makabwela wote wa TZ BARA na Zanzbar.