As we conclude the workshop in Entebbe, we reflect on the insightful discussions, shared experiences, and valuable strategies developed throughout the sessions.
@WIIS_HoA
A productive first day at the ECONOCT training in Entebbe! The sessions focused on enhancing knowledge, fostering collaboration, and building practical skills to drive impactful change. Participants actively engaged in discussions.
#ECONOCTTraining#CapacityBuilding
Ushiriki wa vijana ni muhimu sana katika nafasi za utawala na uongozi, kwani vijana huleta mawazo mapya, nguvu, na mtazamo @zafayco_ @pamoja_youth_initiative @cyd_zanzibar @maendeleo_ya_vijana_zanzibar #foundationforcivilsociety @khf_zanzibar @juwauza
Taasisi ya Zaina Foundation imekamilisha mafunzo/warsha mjini Unguja-Zanzibar kwa kujadili mada ya "Promoting Digital Rights in a Challenging Environment." Warsha hii imewaleta pamoja washiriki kutoka sekta mbalimbali ili kuimarisha uelewa na utetezi wa haki za kidigitali.
"Ufungaji wa Mradi wa Mwanamke na Uongozi: Kupitia mwelekeo wa uongozi unaowajibika na ushirikiano, mradi huu unalenga kuinua sauti za wanawake katika maamuzi na kujenga jukwaa la kujiamini na kujitokeza katika uongozi,
Unapojihisi na dalili za ugojwa wa Malaria ikiwemo kutapika, kichwa kuuma, kukosa hamu ya kula,viungo kuuma, homa unashauriwa uwahi haraka katika kituo cha Afya kilicho karibu na wewe
#ZanzibarBilaMalaria#TUNAWEZA
@zamep_
Unapojihisi na dalili za ugojwa wa Malaria ikiwemo kutapika, kichwa kuuma, kukosa hamu ya kula,viungo kuuma, homa unashauriwa uwahi haraka katika kituo cha Afya kilicho karibu na wewe
#ZanzibarBilaMalaria#TUNAWEZA
@zamep_
Malaria Zanzibar ipo na watu wanaugua, iwapo tutafuata yalee tunayoambiwa. Iwapo utahisi dalili zozote za malaria hasa homa basiiii wahi mapema katika kituo cha afya kilichopo karibu nawe ili upimwe na kupatiwa matibabu sahihi. ZanzibarBilaMalaria #TUNAWEZA
@zamep_
Calenda ya 2024 kutoka Taasisi ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THRDC) inaangazia mwelekeo wa haki za binadamu na mwenendo wa utawala bora nchini. Taarifa hiyo inajumuisha tathmini ya hali ya haki za binadamu, changamoto zinazokabili jamii, na mapendekezo.
@thrdczanzibar
"Mwanamke na Amani inayojitolea kuwezesha wanawake katika jamii kuchangia kwa amani na utulivu wa kijamii. kutoa elimu kwa wanawake ili waweze kushiriki kikamilifu katika mchakato wa kuleta amani na maendeleo katika jamii zao na taifa kwa ujumla."
...#sisterswithoutborders
Tutunze mazingira Kwa ajili ya usalama wetu na vizazi vyetu,ili kuimarisha ujenzi wa taifa kuwa imara zaid.....MAZINGIRA YETU NI NGAO YETU ” @chiyaiddy_official
@thamini_jamii_organization
#GreenXperienceZnz
https://t.co/Aqi1QWicY9
The significance of collaboration in the workplace cannot be overstated. Collaboration fosters creativity, innovation, and problem-solving by bringing together diverse perspectives and expertise. It allows individuals to leverage their unique skills and knowledge.
Women activists have become an important pillar in the struggle for social issues around the world. With their dedication and desire for change, women are putting their voices forward and fighting for equality, human rights, education, health, and other important issues.
Motivation is the driving force behind all accomplishments, and it is with unwavering determination and a relentless pursuit of excellence that I embark on my endeavors. I am fueled by a burning desire to make a positive impact in the world, to push boundarie.
he significance of collaboration in the workplace cannot be overstated. Collaboration fosters creativity, innovation, and problem-solving by bringing together diverse perspectives and expertise. It allows individuals to leverage their unique skills
#thefoundationforcivilsociety
The significance of collaboration in the workplace cannot be overstated. Collaboration fosters creativity, innovation, and problem-solving by bringing together diverse perspectives and expertise. It allows individuals to leverage their unique skills. #zangof2023@ahmedkherlid