@Sativa255@anuskills3 mashabiki wa man u huu ndo wakati wenu wa kufurahi na kujipa hopes kibao ngoja ligi ianze sasa ๐, ifakapo tu january kama kawaida wote mtaiacha timu yenu na mtakuwa mashabiki wa man city. ๐
@danyobryan huu ndo wakati wenu man u kushangilia, kufurahi na kuwa na matumaini makubwa, ila sasa ikishafika january wote mnaiacha timu yenu na mtakuwa mashabiki wa man city ๐คฃ
@anuskills3 Yule Sithole ndo kachoma first touch mbovu, pale wachezaji kibao wanatoka kwenye ile situation fresh tu hata aziz andabwile pale anapokea ile pasi na anatoka vizuri tu.
@sapro_phyticus4 Wengi wanaidharau sana England na wamekariri itabaki hivyo hivyo kila siku kama walivyozoea yani kama Arsenal tu walivyoikariri mwishoe ikawashangaza ๐