Nan wa miliki wa premier league
ligi kuu ya uingereza Al maarufu premier league (EPL) imeanzishwa 20feb ,1992.baaday ya kuvunjika kwa the football league ilikuwa under the FA ya England.
@KennedyMmari project hii inataka kufanana na southmed egypt but wao una invest 3% then in next 3 month unaweka 3% alfu apo unakuwa unaweza kulipa kidgkidg up 12 years without interesst
@OleSangka@BarakaMaviatu 2008 financial crisis? iliilamba maandishi matatu na dunia nzima ikaona athari zake bank zetu zinatikiwa kuwa na mifumo mizur kuhus hii Tz real estate buble coz kunasiku itaburst tu.
@FarahOm91196252 Sio kwel,Kesi yake inahusiana na mambo ya solar energy uko kwao India lkn yeye kuwa ameruhusu investor wa USA na Polisi wa dunia ukiletea ujuaji wanadeal na ww coz unacheza na pesa za wananchi wao.
@KennedyMmari Bro me nachoshangaa matajir zetu Tanzania wote wanatak tapped sector not untapped like wote unakuta wapo kwenye beverage, ngano wengine mafuta na logistic. Wanatakiwa kwanza wabadilishe fikra zao
@Aydidkingkunta@KennedyMmari@Makaveli_255 Education is knowledge. Mandaak yote unaona iran amejenga kwenye milima chini ya ardhi kiasili amepewa hiyo techonology na north korea at the end unachoambiwa unachanganya na zako utangeneza kitu
Nilikuwa nasubiri nirudi instagram ili nianze kuwapostia upya ujangili wa kina Angela Kizigha na kina Mombo maana kwa sasa hakuna impact kubwa itakuwepo sababu sipo insta ila kutokana na hiyo appointment ya Kizigha leo imebidi niwape hii
Hii kampuni Magmop ni kampuni ya Angela Kizigha na iko registered kwa number yake ya simu, yani her own personal number. Mnaweza kucheki wenyewe ownership ya hii magmop.
Naomba muangalie magari yaliyoingiziwa Tanzania na hii kampuni ya Kizigha hiyo Magmop.
Alafu naomba angalieni magari yaliyoingizwa Tz kwa jina la mkuu wa Usalama wa taifa. Suleiman Mombo kaingiza Tanzania kwa jina lake mwenyewe migari kama yote, acha yale marolls Royce yaliyojaa ndani kwake.
Watanzania wanaibiwa kwa kiasi hiki na bado kuna Watanganyika wanafanya uchawa kwa kupewa laki 1.
Ninazo info nyingi zaidi nasubiri nirudi Instagram maana kuachia hizi info kwa sasa hakuna much impact.
Naombeni kila Mtanzania aangalie hayo magari yaliyoingizwa Tanzania kwa pesa za walipa kodi alafu ajiangalie kwenye kioo ajiulize kama yupo upande sahihi wa kudai haki.
Nchi hata maji safi ni shida ila ona Mabugatti yanaingizwa nchini na Angela Kizigha na bado anapewa appointment ya serikalini.
Mnaweza kuingia wenyewe kwenye hii website na kuingiza hizi info na kujihakikishia wenyewe.
@MaxTz255_ Ha hizi billion 200 zikiwa zinatoka kila mwaka per sector in 5 years tutakuwa tumefanikiwa kumaliza au kupunguza ttz la ajira kwa vijana huku serikal ikiwa inapunguza umaskin kwa asilimia kubwa
Wacha Nitoe Ushauri Wa Moja Kwa Moja Kwa Wizara Ya Ufugaji na Ile Wizara Ya Vijana ,
Ni kweli Tuna Import maziwa Mengi sana lakini sababu Kubwa Ni Kwamba Tuna Idadi Kubwa Ya Ng'ombe Takribani Ng'ombe Million 31 ambao Asilimia 99% ni Ng'ombe wa kienyeji (Ambao wanatoa Maziwa Kidogo sana )
Serikali Ingesaidia Kitu kimoja kwenye Hizi Budget ya Mabilioni Yaliyotengwa Kwaajili ya Vijana yangepelekwa Kufungua Miradi Mikubwa Kulisha na kununua Mifugo kwa Kutenga Maeneo yaliyopo Mikoa Ifuatayo ambayo Mimi nimeona Kwa Tafiti zangu
Tabora , Shinyanga , Simiyu, Rukwa , Katavi, Morogoro, Lindi na Mtwara Haya Maeneo Nimezunguka Mengi yana Maji Ya Kutosha Lakini Ardhi yake Kubwa sio Hifadhi za Taifa ,
Fanyeni Kitu Kimoja Nendeni Mkanunue Ndama Million 6 Majike na Million 3 madume specie ya Jersey cattle na Brown Swiss cattle, Hawa wanazalisha zaidi ya Lita 17 za maziwa na Ni wavumilivu wa Hali Ya Hewa na Joto kwa Nchi kama yetu ,
Mtauliza Mtagawa Vipi? , ipo ivi mnaweza Kutumia Njia ipi kwanza nendeni Kwenye Hii Mikoa Niliyoitaja Apo Kagaweni Maeneo kwa Vijana Walio Tayari alafu Kila Eneo Wapewe Ma Afsa Mifugo kutoka Sua Pale kila Kijana Apewe Ng'ombe wawili wa Kike na Mmoja Wa Dume, Then Ndama 5 wa Mwanzo Ni mali ya Serikali Maziwa Ni Mali Ya Mfugaji ndani ya Miaka 4 ,
Baada Ya Miaka 4 tutakuwa na Ng'ombe zaidi ya Million 15+ ambao Tutawagawa Tena Kwa system hii , Hii, ajira zitakuwa Nyingi sana , Kutakuwa na Viwanda vya kusindika Maziwa , Viwanda Vya Kuchakata Vyakula , Viwanda Vya Mbolea inayotokana na Mifugo ,Achana na Hawa Chotara watakaozaliwa sasa,,
@ViwandaBiashara@UvuviNa@ikulumawasliano
@Thommunkondya Kwa mantiki hiyo sisi tukiweza kufanya hivyo in 15 years tunaweza kufika apo na zaid lkn pia https://t.co/RTIKQHHa0Q apo niliwah kukujib kuhus this issue
Kufika GDP ya 1trillion dollar tuaweza kufika kwa kufanya kaz kwa juhud kubwa. If ningekuwa kiongoz ningeboresha sekta chache ambazo zinaweza kutufikisha apo moja sekta ya utalii apa tunatakiwa tupaboreshe kwa kudiversify eneo zaid mtaalii akija asiendee ngorongoro pekee
@Thommunkondya Na local gvt na china pia wako hivyohivyo but shida yetu inaanzia local gvt yetu inaamin kwenye pesa za maendeleo zinazotoka central na baadhi ya vyanzo vya mapato ya ndani kwa upande wa china wao local gvt wanatengezea Special purpose vehicle (SPV) kwa ajili ya mirad yao