Moja ya ndoto niliyokuwa Natamani sana kuitimiza.
Namshukuru MUNGU kwa Kunipa mwanzo huu nina imani nimeanza safari ambayo itazaa matunda zaidi.
Karibuni Kalage Cereal Suppliers.
Mchele safi kutoka Mbeya unapatikana hapa.
Location: Mbezi Beach Africana, Mtaa wa Muafaka.
Mawasiliano: 0678213259
ILE XXL ILIYOKUWA IKIFANYA NATOROKA SHULE......😂🙌🏽
#TbT
👉🏽Ilikuwa ikifunguliwa na ngoma kali kinoma, Hapo mchongo ni wa TWANGALA chini ya "Dozen Selection"
Ngoma ikimalizika tuu, anatukaribisha kwenye Shoo na kutupa muongozo mzima wa kipindi kwa siku hiyo....
Tunakuwa tunajua kabisa ni Msanii gani atapita Mjengoni 😅 na hapo sauti ya FETTY ilikuwa ikisikika pia
👉🏽Baada ya hapo anagonga kibao cha pili, na Mara nyingi kwenye ngoma ya kwanza na ya pili, mwanetu BIG SEAN alisikika sana.....kitu ambacho kilifanya niamini Twangala anamkubali sana BIG
Baada ya hapo ni matangazo Mfululu, kisha inafatia PUSH{kama nimepuyanga nikumbushwe} Kabla ya {255} na DeeAndy
👉🏽Baada ya hapo tunaruka na Ngoma za Town na Mchongo ulikuwa chini ya "DJ ZERO na DJ STEVE B #Rip 💔🙌🏽
Baada ya hapo mtaalam SOUDY BROWN anafata na Gazeti la Makorocho {Uheard}
Mara baada ya "uHeard" inafata "Music On Demand" hapa zinachezwa zile ngoma ulizoziomba tuu....Ila inategemea na siku, Maana kabla yake kunaweza kuwa na 👇🏽
~Kitaani kama MONDAY
~Vipande vya Buthii kama TuesDay
~Album Review kama ni ThursDay
~Jiwe la week kama ni Friday 😅
👉🏽Kisha tunaingia katika Sejimentii ambayo ilikuwa inapendwa na Wana kibao na ndani yake ni muda ambao anaongezeka ADAM MCHOMVU.....
"HOT 3 AT 3" 🔥
Nimekumbuka sana Zamani, kipindi ambacho sidaiwi kodi wala Sidaiwi chochote kudadadadeki 😅🙌🏽
XXL ya DHAHABU
“Until the philosophy which hold one race superior and another inferior is finally and permanently discredited and abandoned, well everywhere is WAR.” #War#BobMarley
🎥 Amandla Festival of Unity, Boston 1979.
Ni Muda sahihi Watanzania kununua Magari ya umeme! Kwa sababu chaja za size zote zinapatikama @WAGAMotion na Installation ni Bure! 🇹🇿😊 Ni kipi unajiuliza sana ukiwaza magari ya umeme? Uliza hapa @WAGAMotion ! Cc @walterminja#MagariYaUmeme