Nipo kwenye ndoa mwaka wa 7 sasa toka 2019 mke wangu aliwahi kunipeleka ustawi wa jamii kutokana na kipigo na manyanyaso niliyokua nampa ila bado tupo pamoja kutokana na maumbile yangu makubwa ya uume maana sehemu zingine haridhishwi
Yesu hajawai kuwa mkristo ila waebrania walimwita masihi “mpakwa mafuta” .
Yesu ni mhayudi na alizaliwa Palestine 🇵🇸 wakati huo ikijulikana kama judea alizaliwa katika mji wa betleemu
Yesu aliishi katika Torah ya musa.
Pia wakati wake hakuwai kusali kanisani wala hakukuwa na
❗️The Iranian terrorist regime launched a long-range missile for the first time since the start of Operation Roaring Lion that could reach a distance of ~4,000 km.
During Operation Rising Lion in June 2025, the IDF revealed that the Iranian regime has intentions to develop missiles with a range of 4,000 km, which pose a danger to dozens of countries in Europe, Asia and Africa. The Iranian regime denied this.
We have been saying it: The Iranian terrorist regime poses a global threat. Now, with missiles that can reach London, Paris or Berlin.
The Iranian terror regime has carried out attacks against 12 countries in the region and is developing a capability that poses a much broader threat.
It's the night before the sun rises from the west—one of the major signs of the Hour (Qiyamah). Hadith (Bukhari/Muslim) say when that happens, all will believe but repentance ends, and normal Fajr won't arrive as usual, so no Adhan for it that "morning."
The Laylatul Qadr idea doesn't fit, since Adhan is still called at true dawn even then.
Waislamu hawataki wakristo wale msosi hadharani kama ilivyo kawaida wakati wa Ramadhan kwa sababu watashawishika kula.
Hii sababu ni ya kipumbavu sana sijawahi ona Imani hakuna humu
Basi tufanye hivi sawa wasio vilema wasitembee mbele ya vilema maana watatamani kutembea?🤔
“Hakika Allah amekuchagua na kukutakasa na kukuchagua juu ya wanawake wa walimwengu.” — (3:42)
Lakini ubora wa mzazi hauamui ubora wa mtoto moja kwa moja. Katika Qur’ani, ubora hupimwa kwa uchamungu:
“Aliye bora zaidi kwenu mbele ya Allah ni aliye mchamungu zaidi.” — (49:13)
1. Kufa au kutokufa si kipimo cha ubora kwa Mtume
Qur’ani inaweka kanuni ya jumla:
“Kila nafsi itaonja mauti.” — (Qur’ani 3:185)
Hivyo kufa si udhaifu wala kushindwa. Ni sheria ya Allah kwa wanadamu wote. Qur’ani pia inasisitiza kuwa Muhammad alikuwa binadamu:
Swali la kutafakari: Muhammad alikufa na yuko kaburini anasubiri hukumu kama binadamu wengine. Nabii Isa ambaye alizaliwa na mwanamke bora kuliko wanawake wote, hakufa, na yuko mbinguni. Ikiwa Muhammad ni bora kuliko wote, mbona tofauti hii ni kubwa kiasi hiki? 🧐
4. Qur’ani yenyewe inaonyesha daraja ya Muhammad ni ya juu
Aya kadhaa zinaonyesha hadhi yake:
Muhuri wa Manabii: (33:40)
Rehema kwa walimwengu: (21:107)
Tabia tukufu sana: (68:4)
Huruma kwa waumini: (9:128)
Hakuna Mtume mwingine aliyeelezewa kwa mkusanyiko wa sifa hizi zote kwa pamoja.
5. Kuzaliwa na mwanamke bora hakumaanishi mtoto ni bora kuliko wote.
Qur’ani inamtaja Maryam kama mwanamke bora: