Sikuwa nimeskia hiyo speech ya Ruto akiwa Bomet ,nimeona watu wakiongelea ikabidi nimesearch ,nilikuwa mtu wa wantam but after nimeskia vile anaongea nikahave a 1 hour talk with myself nikaamua mimi kama Kipsigis from Bomet nitaamka asubuhi nipige kura wantam bado.ajidishi