@SuluhuSamia Raisi wetu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania tunakupenda sana sana tuna kuamini sana sana wewe nimfano wa kuigwa kwa baadhi ya viongozi wengi wanapaswa kujifunza kwako
@HKigwangalla Mimi nakukubali sana mzee ila mimi nasema hivi usirudishe mpira kwakipa muda bado upo tupambane mzee njia itafunguka upyaa naamini hivyo,,,,,
@HKigwangalla@ACTwazalendo@zittokabwe Hivi makao makuu ya chadema yenye jengo tuu linaroringana na la ccm lumumba liko wapi mniambie makada wenzangu natamani kujua