@AbroadTanzania Jamani mambo mengine ni majungu huyu jamaa ni mtu smart sana katemba hana shida na mtu hana hata hayo Makandokando mnayompakazia,wivu na husuda zisiwafanye mumchafue mtu,nilipata bahati ya kumfahamu akiwa Mbeya D.c hanaga shida huyu mtu