Dr. Slaa akiwa mbunge alifichua mambo mengi sana ya ufisadi pia nafasi yake ya katibu mkuu wa CHADEMA aliongoza oparesheni nyingi za kukijenga chama
Moja ya oparesheni kabambe ilikuwa oparesheni SANGARA ambayo ilisaidia CHADEMA kupata wabunge nane kwenye majimbo mapya kanda ya ziwa ambayo yakikuwa yakitawaliwa na CCM
Hakuna kitu Kinauma kama kuona mwanaume akitumia vibaya a very good life changing opportunity.
Shit really hurts knowing how opportunities are scarce in this country halafu kuna watu wanachezea nafasi hizo.
Kijana anapewa opportunity, kazi ya 300k kwa mwezi halafu anacheza na kazi.
Instead of putting in work, anakuwa mlevi, mzinzi na bata basi.
Wanawake masikini hawatafuti mahusiano wanatafuta mwanaume wa kulipia bills. Sex kwao ni medium of exchange. Kila kitu mpaka wagongwe kwanza
Akitaka kodi anagongwa
Akitaka top up ya simu anagongwa
Akitaka hela ya kumtibu mama anagongwa
Akitaka hela ya kula anagongwa
Itakuwa huna akili unadate na demu masikini na unaamini eti anakupenda
Kuna siku nlitaka nkuulize why uliamua kuishi Goba ukapaacha MBWENI, ila kama unawekeza na huko umetisha
Hebu wenyeji mniambie wapi kwingine watu wanaishi nikapatembelee
This time nataka niende MASAKI nikajue kati ya MBWENI na MASAKI wapi duniani kama inavyosemekana😁
Hivi madaktari na wataalam wa ubongo hawawezi kufanya utafiti maalum kuhusu athari za watoto kuamka mapema sana kwenda shule,
Na kuchelewa kurudi hivyo kukosa saa za kutosha za kulala. Unakuta hata chekechea wanatembea au kusubiri basi gizani kabisa.