Morio wangu akiamka kwa coma ati amepoteza memory yake๐๐ naweza sumbua uyo jamaa, akiniuliza mi ni nani namwambia ndugu yake na akona bibi na watoto na anakua in a secret gay relationship na ni mimi pekee najua juu aliniambia, alafu nikae niwatch movie irl๐โโ๏ธ
@kanyi_254 Bro, kuna siku nimepeleka shorie kibandaski man akachafua chapo tatu mzee tunafika kejani ananiambia ufala za I'm a good guy ... Matako zake... Anyways io kitu tuachie wazungu majamaa