- Member of Friends of the Earth Africa and Friends of the Earth International (FoEA & FoEI).
- UNFCCC observer status.
- Free legal aid: +255717156156
TFS yahimiza uandaaji wa mpango kazi kwa Maafisa Ugani na Uenezi!
Lengo ni kuongeza ufanisi katika kuelimisha jamii, kuratibu shughuli za ugani, na kuimarisha ushirikiano kwa uhifadhi endelevu wa misitu.
Fuatilia zaidi kupitia @Mazingira_Onlin๐
https://t.co/AC4GQdceO7
1/2
Wahifadhi wa TFS wawasilisha mapendekezo ya kuboresha huduma za ugani na uenezi!
Lengo ni kuimarisha usimamizi endelevu wa misitu kwa kuongeza ufanisi, ushirikiano na uwajibikaji.
Misitu ni uhai, tuilinde pamoja!
#TFS#MisituEndelevu#Uhifadhi#UganiNaUenezi
Maafisa Ugani wa TFS wanapewa mafunzo ya kuimarisha usimamizi endelevu wa misitu!
Lengo ni kuhakikisha jamii inapata maarifa sahihi na mbinu bora za uhifadhi kwa manufaa ya sasa na baadaye.
Tuunge mkono juhudi hizi!
Fuatilia Zaidi kupitia MazingiraTv๐
https://t.co/ffGAZxSluI
Mafunzo kwa wahifadhi wa TFS kutoka Kanda mbalimbali yakifanyika chini ya mradi wa Intergrated Approach for Transformation of Tanzania Fuel Wood Value Chain Project.
Kampeni hii imezinduliwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, kwa kushirikiana na viongozi wa serikali za mitaa, wadau na wananchi walioungana kwa ajili ya usafi na utunzaji wa mazingira yetu.
Tanzania ni yetu, tuipende, tuihifadhi!
Katika kuadhimisha Siku ya Muungano wa Tanzania, @InfoLeat imeshiriki kampeni iliyoandaliwa na Taasisi ya TESCAI ya kupendezesha Mikocheni kwa kupanda zaidi ya miti 3000 na kusimika mapipa ya taka!
At @InfoLeat , we continue to champion women's rights by ensuring they have access to, use of, and ownership of land, along with enjoying other environmental rights. Together, we can create equitable and sustainable future for all. #IWD2025#WomensRights#EnvironmentalJustice
3/3
Mafunzo haya yatawapa washiriki ujuzi wa kiutendaji na maarifa mahususi ili kuimarisha usimamizi wa misitu, kutoa huduma bora kwa jamii, na kuchochea maendeleo endelevu katika mnyororo wa thamani wa nishati ya miti.
1/3
@LeatInfo, kwa kushirikiana na @WWFTANZANIA na @MCDITanzania, inatekeleza mradi wa Mbinu Jumuishi za Kuboresha Mnyororo wa Thamani wa Nishati ya Miti chini ya ufadhili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia msaada wa Umoja wa Ulaya.
2/3
@InfoLeat imeandaa mafunzo kwa maafisa misitu na maliasili ili kujenga uwezo na kuimarisha mbinu za utekelezaji wa sheria zinazozingatia haki za Binadamu. Mafunzo haya yanalenga kuboresha utekelezaji wa sheria na kanuni za misitu kwa @MNRT_Tanzania, @TFSAgency, na LGAs.
Be inspired and informed by our latest documentary on the environmental impacts of small-scale mining in Geita, Tanzania. Learn how these activities affect local communities and the environment. Watch now! https://t.co/nvNiAejUuN
@InfoLeat
Happy Holidays from all of us at @InfoLeat
Kindly be informed that LEAT will be closed from December 20, 2024, to January 6, 2025.
https://t.co/LuYXgr4iDh
@InfoLeat yaendelea kujengea uwezo maafisa misitu na wahifadhi kutoka katika taasisi mbalimbali ikiwemo @TFSAgency na @MNRT_Tanzania katika Usimamizi wa Sheria ya Misitu unaozingatia haki za binadamu.
Fuatilia zaidi video hii๐
https://t.co/fBOtoWXcCC
Two servers used for developing Land Use Plans & issuing CCROs were handed over to Sumbawanga and Nkasi Districts. Together we're building resilient communities and fostering sustainable development!
@InfoLeat@USAIDTanzania@rusudeo Celebrating the closing of the USAID Resilient Communities Governance Project in Rukwa! Honored to have the Regional Administrative Secretary, Mr. Msalika Robert Makengu as our Guest of Honor.
@InfoLeat is grateful for the presence of @USAIDTanzania Agreement Representative Officer, Nkasi & Sumbawanga district officials, village leaders, private sector, and USAID partners. We celebrated project achievements, best practices, lessons learned, and discussed challenges.