Wadau wacheni niwachanue juu ya kuunda dooh na home wifi yako .
Nunua :-
1. RB 951 mikrotik
2. EAP 110 access point
3. Cat 6 outdoor Ethernet cable
4. Till no.
Sasa biz ya kuuza hotspot imekua mzuri sana.
Hii mikrotik handles billing system. Watu wanaeza connect kwa system...
Adi till number yako ama paybill + account number.
Tumia net yako ya nyumba kuiuza tena. Roughly uwezi kosa per month dooh ya kuilipia tena .na pia extra coins.
Nimewachanua. Na pia kama unataka kuingia hii biz ya wifi hotspot just DM me on whatsapp 0768198051.
Wadau wacheni niwachanue juu ya kuunda dooh na home wifi yako .
Nunua :-
1. RB 951 mikrotik
2. EAP 110 access point
3. Cat 6 outdoor Ethernet cable
4. Till no.
Sasa biz ya kuuza hotspot imekua mzuri sana.
Hii mikrotik handles billing system. Watu wanaeza connect kwa system...
Walipe na watumie wifi yako kwa plot bila ata wewe kuwapea password.
The Access Point ni kutumia ku broadcast WiFi mbali.
So unainstall billing system kwa the mikrotik router .
Billing system tumia yangu
https://t.co/P7KcEJEJJ0 . Configure kila kitu apo...