Usiku wa leo mkoani Dar es Salaam, nimeungana na viongozi na wananchi wenzangu kuadhimisha miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Maadhimisho haya yametupa fursa ya kuendelea kutambua na kujivunia mchango mkubwa wa TRA pamoja na walipakodi wote katika maendeleo ya Taifa letu.
Tunapotekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, ni muhimu kuendelea kuimarisha ukusanyaji wa mapato ya ndani. Hili litafanikiwa wananchi wakilipa kodi kwa uaminifu, TRA ikikusanya kwa haki, na Serikali ikitumia mapato kwa uadilifu.
Sote tuendelee kukumbuka kuwa, kulipa kodi ni wajibu, ni uzalendo, ni heshima, na ni dhamana inayorudi kwa wananchi kupitia huduma na shughuli za maendeleo.
@millardayo Msiingilie halo ya MTU kama anafanya jambo lake kwa ajili ya kutafuta haki Yale mnasema no aibu kivipi wala sio aibu MTU kwenda ktk vyombo vinavyoweza kutenda haki kuhusu malalamiko take mnona mnakuwa na was was kama mnahaki kaeni kimya msimkasilikie MTU na halo yake
@privaldinho Mlishindwa wenyewe kulimaliza tatizo mpk limefika hapo harafu sasa ivi unaupiza kuna nnn na unatafuta mchawi watatizo ulilolianzisha mwenyewe
@bongofive Ndio maana project nyingi mnazo anzisha zinfeli kwa sababu ya kuangalia majina makubwa MTU mwenye kina kubwa huwa sio wabunifu wannamin umaarufu wao ndo kila kitu MTU asiye kuwa na umaarufu mi mbunifu na huwazlipa pesa nyingi , palipo na uswahili mwinvi mafanikio ya kuendeshail
@mussasalibokotz @NotYetUhuru__ Hahaaa mimelipenda zaga hili ngoja nikija huko nalinunua naluja nalo kimya kimya maana hii ncji bila kuwa twanga hawa vongz wajinga wajinga hatuwez kwenda
@Gervasmgaya3@godbless_lema Hayo makanisa yanakusaidia sana bila wewe kujua na yana sababisha afya na meema ya pekee ambayo wengine hawana sasa subili yaliondolewa kama humo ndani utalala mjinga we we uliyekosa akili harafu unaitwa baba faith unajua maa ya hill jina kitu jinga kabisa
@godbless_lema We we na mbowe mlisha fungal ndoa na Sirai ambaye pia no mtetez was mashoga ,mafisadi, hivyo hatuwaamin mmeisjia kubwekabweka hamna lolote. Watumwa nyie
@MsigwaGerson@SuluhuSamia Kama ana mamlaka hiyo basis anaweza hata kupindua mila amnacho kitaka kwenye katiba kikawa kweli Tanzania bado sana tunachezeana akili tu
@MabalaMakengeza Kupambana na jambo mpk hatua yako ya mwisho japo hukufikia malengo uliyo kiwekea ama ubora ulio taliwa ,mambo yote yanayotafsiliwa kua mi mfumo dime siokweli hizi n mila na desturi za kitanzania na Afrika zilizopewa kina bays na imepwlekea kufa kwa ndoa nyungi na kuharibu heshima
@Twaha_Mwaipaya Huyu rsis kashindwa kutoa tamko kukithir kwa mashoga mpk sasa huku mtaan watu qanaiibia serikalo kuliko kawaida haswa kweye halmashauro za jiji na anaishia kumfukuza nas hakuna hatua kuchuliwa hawna imani na yeye maana anathamin matajir na anaongozwa ma mafisadi kuongoza nchi
@PastorMattHagee Nakumbuka Siku ile nilipo mkili yesu kuwa bwana na mkozi wa maisha yangu mwili wangu ulikuwa mwepesi ghafla kama mtu aliye kuwa amebeba mizigo mzito kifuani na mabegai mwake mzigo uliondolewa , mwili wangu ukawa mwepesi na moyo ukajawa na furaha Asate yesu kuniokoa
@PastorMattHagee Nakumbuka Siku ile nilipo mkili yesu kuwa bwana na mkozi wa maisha yangu mwili wangu ulikuwa mwepesi ghafla kama mtu aliye kuwa amebeba mizigo mzito kifuani na mabegai mwake mzigo uliondolewa , mwili wangu ukawa mwepesi na moyo ukajawa na furaha Asate yesu kuniokoa
@MsigwaGerson Uturuki inatarakia kupata dollars billions kutoka jumuiya ya ulaya Leo were Tanzania unatoa 2,3400000/_ kuisaidia uturuki ambayo imekukopesha pesa na inajenga reli na utatakiwa kuilipa harafu wanafunzi sanakosaikopo jaman dawa hospital mpk huduma za afya ncjin ziko juu harafu dah