Ghana kulikuwa na mtu anaitwa Tawia Adamafio alikuwa sehemu ya serikali ya Nkrumah iliyounga mkono sheria kali kuwaweka watu kizuizini. Cha kushangaza, yeye ndo alikuwa mtu wa kwanza kuathirika na sheria hiyo.
What goes around comes around

Kwa mtazamo wangu, kwenye maisha suluhisho si kubana matumizi kupita kiasi, bali kuongeza mapato. Maendeleo ya kweli hayaji kwa kupunguza matumizi pekee, bali kwa kukuza uwezo wa kuzalisha na kuingiza kipato zaidi