A slave simply has no history, no present, and no future. Africa remains in this condition because we have failed to act, and we left the power to change in the hands of thieves, petty dictators, and arrogant colonial leftovers.
- IDL.
Kuna watu wanafikiri wananchi hawana uwezo wa kutambua matapeli wa kisiasa. Wanajidanganya. Kupitia maneno pekee huwezi kumtambua mamluki, maana wanasiasa wote huzungumza yale wananchi wanayotaka kusikia.
hata kama uthabiti wa msimamo na matendo yao unaonekana ni mzuri. Maana binadamu pekee ambaye unaweza kumuamini kabisa kwenye siasa ni yule ambaye ni mfu (a dead person).