Baada ya kuweka hii Email ya JESHI LA POLISI kunitishia maisha, kuna watu wanahisi mimi MSANII.
MAMBO YASIWE MENGI.
Umeona hapo nilipozunguzishia? Hiyo ndio Email iliyonitafuta mimi.
Wewe kuthibitisha kama kweli ipo na ni ya WATEKAJI , Fanya kuwatumia Email "MTUKANE SAMIA" kisha weka na namba yako ya simu.
Yani mm nilete DRAMA humu?๐ฎ