It's not a joke guys a few days ago someone shared that they had no real friends and they rely on an AI program for communication and friendship. I mean even sharing the most troubling secrets. Sounds weird right?
Kuna Dem flani alikuwanga in a serious relationship anaishi Juja alikuwanga amekuja Roysa shugli ya kama 3 weeks ,wakameet na morio wangu
.. morio kumkatia akasemanga anadate ,akainvite Dem kwake wakakaa kama 1 week, obviously wakageuzana,Dem kumaliza shugli akarudingi kwao alafu kumbe alipatanga na ball
Wakaagree co parenting ju hawakuwa wanapendana,ikakuwa mtoi akifika 3 years morio amchukue na Dem ajitoe kabisaa,so ikaenda smoothly na mjamaa akachukua mtoi ,kwanza mtoi alikuwa brown kama morio wetu,Dem alikuwa somehow darkskin
Morio akalea mtoi vizuri mpaka hapo grade 9 ndo akaamua kufanya DNA for the benefit of doubt,wueehh! kumbe mtoi ni wake ,ama ulikuwa unaexpect nini?