Kaulimbiu za baadhi ya viongozi wa kisiasa zilitumiwa na vijana wakati wa ghasia kama mwongozo. Tume iligundua hii ilikuwa mkakati wa kuwatumia vijana kufikia malengo ya kisiasa bila kujali madhara yaliyowapata. Vijana walikuwa zana tu.
Ripoti inaonyesha kuwa hasara ya kiuchumi ilizidi kuwafanya raia wengi kushuka kiwango cha maisha. Kupanda kwa bei za bidhaa muhimu na kupungua kwa mapato kulisababisha kuongezeka kwa umaskini na ukosefu wa chakula. #UkweliWaRipoti#TumeYaUchunguziReport
Kurekebisha Historia
Mbele ya Tume, baadhi ya vijana walikiri kuwa walikuwa wakifanya kazi ya kutoa maudhui mtandaoni ili kuwachochea vijana wenzao. Walikuwa na maagizo ya kurekodi kila kitu kinachohusiana na JWTZ ili kueneza uongo kwamba wao ni pamoja nao.
Mitandao ya kijamii ilitumika sana kabla, wakati na baada ya uchaguzi kuwaingiza vijana katika ghasia. Wabuni mada walitengeneza maudhui yanayohamasisha vijana kutoshiriki uchaguzi na badala yake kuzuia. Vijana walipokea simu maalumu ili wapige picha na video za matukio ili
Tume ilibaini kuwa mitandao ya kijamii ilikuwa chombo kikuu cha kuwadanganya vijana kushiriki vurugu. Maudhui yaliyoandaliwa yaliwalenga vijana hasa na kuwaahidi mabadiliko. Badala yake yaliwaingiza katika hatari na madhara makubwa.
Tume ilichunguza na kugundua baadhi ya wanasiasa walitumia hotuba zao kuwaingiza vijana katika vurugu. Kauli zilizotolewa ziligeuka kaulimbiu za vijana waliokuwa mitaani. Vijana waliamini walikuwa wakitekeleza maagizo ya viongozi wao wakati walikuwa wakidanganywa.
Mbele ya Tume, baadhi ya vijana walikiri kuwa walikuwa wakifanya kazi ya kutoa maudhui mtandaoni ili kuwachochea vijana wenzao. Walikuwa na maagizo ya kurekodi kila kitu kinachohusiana na JWTZ ili kueneza uongo kwamba wao ni pamoja nao. Hii ilikuwa mbinu ya ujanja
Taasisi za kidini zilifungua milango yake kuwa makazi ya muda na vituo vya msaada kwa waathirika. Familia zilizopoteza nyumba na mali zilipata hifadhi, chakula, nguo na faraja kutoka kwa makanisa, misikiti na mahekalu.
#TumeYaJajiChande#TumeYaUchunguziReport
Umoja Na Amani
Huu ni ukweli, miaka ya sasa tatizo la vyoo mashuleni,maana serikali sikivu imefanya kila kitu isipokuwa utekelezaji ndio wa hali ya chini.
#MwiguluNchemba#SSH#NchiyanguKwanza
Huu ni uongozi wa kijamii (community-oriented leadership). Hapa kiongozi hujenga ukaribu na jamii, huonyesha uwepo wa moja kwa moja, na huimarisha mshikamano wa kijamii.
Dkt.Samia Suluhu Hassan akifuturisha wanafunzi Arusha.
#SSH#KaziNaUtuTunasongambele#NchiyanguKwanza
Mapema leo jijini Arusha nimemkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Ghana, Mheshimiwa John Dramani Mahama ambapo tumejadili juu ya kuimarisha ushirikiano wa kimkakati katika mageuzi ya kiuchumi, kuongeza thamani ya rasilimali zetu, ajira kwa vijana na maendeleo ya uchumi wa kidijitali.
Dhamira ya waasisi wa mataifa yetu haya mawili ilikuwa ni kuiunganisha Afrika, nasi kwa pamoja tumepongeza kuanzishwa kwa safari za moja kwa moja za ATCL kati ya Dar es Salaam na Accra (Ghana) ambazo zitarahisisha mwingiliano wa watu, kukuza biashara na utalii.
Tanzania na Ghana zitaendelea kushirikiana katika usimamizi wa rasilimali ili kujenga uchumi shindani na jumuishi, unaolenga kufungua fursa zaidi za biashara, uwekezaji na ajira kwa wananchi wetu.