Biashara ya kuuza nafaka na mazao ya wanyama ni kati ya zile biashara ambazo zitakuingizia fedha miaka nenda rudi kikubwa usiifanye kwa mazoea - uwe mbunifu kila siku.
Vodacom kuna hii huduma ya intaneti ya malipo ya baada (Pre Paid) ambayo unanunua wakati ambao unahitaji wewe.
Kikubwa uwe na router au pocket wi-fi yako na hela ya chai (Tsh 15k) kwa ajili ya huduma na kuhakikisha kijana anashiba.