“Tunasikitika kutangaza kifo cha Mmoja wa Waasisi/Mkurugenzi wetu wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Ruge Mutahaba alietutoka leo huko Afrika Kusini alikokua akitibiwa, Mioyo yetu imejeruhiwa, tutaendelea kuwapa taarifa zote kuhusiana na msiba huu mzito” - CLOUDS #PumzikaRuge