Tambua tofauti kati ya urafiki wa moyo na urafiki wa maslahi, kwani si wote wanaotabasamu nawe wana mapenzi ya dhati. Urafiki wa moyo hujengwa juu ya uaminifu, heshima na mapenzi ya kweli yasiyopimwa kwa mali wala cheo.
Lakini urafiki wa maslahi hutegemea upepo wa faida na unayeyuka pale manufaa yanapokoma. Ukitambua tofauti hizi mapema, utalinda moyo wako usiumizwe na urafiki wa kinafiki, na utathamini zaidi wale wachache wanaobaki nawe bila kujali unacho au usichonacho.
Kumekuwa na wimbi la vijana kudhalilisha na kutolea mabinti/wanawake mitandaoni maneno yasiyo kuwa na staha.
Mtu anaona raha tu kutoa maneno ambayo kimsingi hata yeye asenge furahi akiona dada au mama yake anaambiwa maneno ya namna hiyo.
Wengi wanajificha katika kivuli cha kuwa hawafahamiki wanatumia picha zisizo zao, ili iwe vyepesi kwao kudhalilisha watu mitandaaoni.
Kukithiri kwa tabia hii kunaunajisi “UANAUME” na kuutia doa kwa sababu anapokosea mmoja lawama zinakuja “WANAUME WA SIKU HIZI”. Kuna raha gani unapata wanaume wote tunawekwa kundi moja sababu ya ushenzi wa mtu mmoja?
Mitandaoni sio lazima uwe na urafiki na kila mtu au uzoeane na kila mtu. Manake isifike wakati unalazimisha mazoea usipofanikisha unaigeuza chuki na kuanza kutoa maneno mabaya.
Kuna mijadala mingi ya kujadili ambayo haikuhitaji kutukana au kutoa maneno mabaya. Vijana wa kiume mtaani wanapigika na kazi, maisha magumu, tujadili basi namna ya kukwamuana kiuchumi. Manake wanawake wao na vikoba, wanapambana kiuchumi.
Au ndio hivyo unapotukana ukaona watu wamecheka basi unahisi umefanikiwa? Mitandaoni unaweza kuipata heshima kwa kutokutukana. Chagua tu mada zako za kuzungumzia ambazo zitavutia watu wenye akili timamu kukufuata.
Hakuna ufahari kuwa na wafuasi wengi halafu wasio na adabu na wapenda matusi. Namuangalia ndugu yangu Abby Msangi, maarufu sana humu lakini ni wachache sana wanaoijua hata sura yake lakini amekuwa mwenye heshima na adabu kwa kila mtu. Sio lazima watu waifahamu sura yako, lakini basi usitumie kigezo cha kutofahamika kudhalilisha watu.
La mwisho; Ndugu zangu, hamna imani mnazoamini? Kiasi mkawa hata na hofu ya Mwenyezi Mungu aliyewaumba? Au tunapata jeuri ya uhai tunahisi tutadumu milele? Walikuwepo wababe lakini hawapo tena nasi zamu yetu itafika. Basi tujitahidi mitandaoni tusiache sifa mbaya ambazo tutaendelea kuchuma dhambi hata baada ya kuondoka kwetu.
🥳 Dear @Cristiano, from Real Madrid, we want to send you our warmest wishes on your 40th birthday. Every madridista is proud of the legend that you are and what you represent for our history. Have a great day with your family and loved ones.
Kazi yangu ni ile ile🥰nisapotini jamani, hata kwa RT🙏🏽
For hair & makeup bookings
Call/ Whatsapp 📲 0676335537
📍Mikocheni, Rose Garden Rd
#glammedbyqueeenminah
Samahani kama nitakuwa nje ya mada ila sasa nataka kusema, Kesho tukishinda tunafikisha alama 39 na kushika nafasi ya 5. Tunaweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufika nafasi hiyo. Kumbuka timu 4 bora AFRIKA zinashiriki klabu bingwa ya dunia. Sasa nisimalize utamu kesho tujaze uwanja tukaweke historia hii wananchi.
Kama unahitaji gari nzuri nipigie +255 757 661 073 @TroniMotors tuongee vizuri
Samahani kama nitakuwa nje ya mada ila sasa nataka kusema, Kesho tukishinda tunafikisha alama 39 na kushika nafasi ya 5. Tunaweka rekodi ya kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufika nafasi hiyo. Kumbuka timu 4 bora AFRIKA zinashiriki klabu bingwa ya dunia. Sasa nisimalize utamu kesho tujaze uwanja tukaweke historia hii wananchi.
Kama unahitaji gari nzuri nipigie +255 757 661 073 @TroniMotors tuongee vizuri