Wajibu wa Polisi ni kulinda Raia pamoja na Mali zao sio kuzuia maandamano ya amani Yenye lengo la kushinikiza Kuachiwa Kwa @DEUSDEDITHSOKA na wenzake wote waliotekwa sasa hiyo imewashinda Lkn mnaweza kuzuia maandamano ya amani shame on you @tanpol
Osotsi can not dare leave ODM.
He leaves ODM, and we give Indimuli Kahi direct ticket.
His only option is that he stays and prays ODM pushes for zoning in their deal with UDA, stopping Indimuli from challenging him for the Vihiga gubernatorial position.
Shetani akitaka kukuangusha anakupa Kiburi, jeuri na dharau. Anakufanya ujione una uwezo wa kufanya lolote unalotaka wewe bila kujali lolote. Anakufanya ujione una Upekee wa ajabu usiolinganishwa na binadamu yeyote yule.
UJUMBE WA MATESO KUTOKA KWA MH. TUNDU LISSU AKIWA GEREZANI UKONGA.
“Ndugu zangu,
Kwa wiki kadhaa sasa nimewekwa kwenye total isolation “upweke wa kulazimishwa”
Wale wafungwa wenzangu waliokuwa nami kwenye selo moja, ambao walikuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo, wametolewa wote nimeachwa peke yangu.
Selo yangu sasa imewekwa kamera za ufuatiliaji (CCTV) zinazorekodi kila kitu ninachofanya, hadi wakati ninapokojoa au kubadilisha nguo.
Sina faragha yoyote tena. Hili si suala la usalama bali ni kudhalilishwa kwa utu wangu kama binadamu.
Naomba jambo hili lipigiwe kelele kwa nguvu zote, kwa sababu ni ukiukwaji wa wazi wa haki za binadamu na ni kosa kisheria chini ya Kanuni za Umoja wa Mataifa za Matunzo ya Wafungwa (Mandela Rules), ambazo zinasema wazi kuwa:
•Utu wa binadamu unabaki kuwa wa heshima hata akiwa gerezani (Kanuni ya 1),
•Upweke wa muda mrefu au unaomnyima mfungwa mawasiliano ni ukatili na mateso (Kanuni ya 43 na 44).
Pia ni ukiukwaji wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ibara ya 12 na 13, zinazolinda hadhi ya mtu na kumzuia kuteswa au kudhalilishwa.
Niko tayari kuvumilia hali yoyote kwa ajili ya imani yangu na msimamo wa wananchi katika haki na uhuru wa watu wetu, lakini udhalilishaji wa utu wa binadamu hauwezi kukubalika, si kwangu tu, bali kwa yeyote anayebeba jina la mwanadamu.
#REPOST UJUMBE UFIKE MBALI
Sio tu kuwa kesi ni ya uongo, bali pia nyaraka zimepikwa. Trial bundle aliyonayo Lissu sio iliyoko Mahakamani. Kuna substantive mismatch. Ifahamike, forgery ni kosa la jinai. Usiku wa leo atapitia bundle zote mbili.
Kesho tutakuwa na tafrija!
Dear TAL, we don’t deserve you 🙌🏼
Impunity is not immunity.
Haki itatendeka tu, Rais @SuluhuSamia unatumia vyombo vyote vya dola dhidi ya chama chetu na kiongozi wetu. Kwasababu ya uoga wa kushindana, kwasababu mheharibu uchumi wa nchi yetu, kwasababu serikali yako haina majibu kuhusu usalama wa watu, vijana wanatekwa wanauwawa na kupotezwa. Wewe Rais na serikali yako hamna majibu kuhusu ajira kwa vijana wala hamna mpango na uwezo wa kuleta ajira.
Serikali yako inaongoza kwa ufisadi na rushwa za kutisha.
Mnaogopa hayo inabidi Mtumie mbinu ovu kumnyanyasa Lissu
Kitu muhimu cha kukumbuka ni kwamba hakuna kinga ya kutenda uovu.“impunity is not immunity “
Watanzania hawatakubali na bado tunasisitiza #NoReformsNoElections tutaenda hatua zaidi kuhakikisha madai yetu yanasikilizwa na yanafanyiwa kazi.
RAISI SAMIA @SuluhuSamia anatunyang’anya haki yetu ya kupata watumishi wetu, anatutengenezea mazingira ya kupata MABWANA ZETU.
Mimi nimekataa kupewa BWANA, nataka MTUMISHI.
NO REFORMS, NO ELECTION.
TAL ni special creature. Ni viumbe wachache kama TAL katika siasa zetu. Wanachama wa CHADEMA tunamuunga mkono kwa kuwa siasa zake hazina mawenge. TAL anastahili kutuongoza. Dhamira ya waliomtupa gerezani ni awasujudie. Amegoma kupiga magoti. Jambo moja ni hakika, TUTASHINDA.
Mwaka huu ni fursa kubwa kwetu kuifundisha serikali na ccm kwamba wananchi ndio wenye Nchi.
Mwaka huu lazima serikali na ccm wajue, huwezi kuendesha Nchi kwa kiburi, dharau na kukomoa wengine.
Lazima wajue Nchi ni yetu sote, wote tunastahili maisha mazuri.
Vijana Watanzania huu ni Mwaka wenu.
#NorefomsNoelection
🚨‼️ARUSHA KIMEUMANA🚨‼️
Wamaasai hawana masihara 🔥
Wamekusanyika na sasa wameng’oa waya waliozungushia eneo na kuingia! Eneo la kijiji linachukuliwa kwa nguvu ya nini?
Makonda hii itakutokea puani! Acha ubabe!
#TutaelewanaTu
Alichokifanya Lissu leo ni kufichua MADHAIFU ya mahakama, magereza, Ofisi ya Mashtaka ya Taifa & DPP. Tangu Lissu akamatwe ni siku zaidi ya 68 ila Hakimu hakufanya jukumu lake la kisheria kuhakikisha mahabusu anahifadhiwa na kupewa huduma na haki zake za Kikatiba & Sheria.
Lissu amefichua UDHALIMU unaofanywa na askari magereza. Alichokisema, bila kukitamka kinywani ni kwamba, Jeshi la Magereza linafanya kazi kwa MAAGIZO na sio kwa kufuata sheria za nchi. Unahitaji akili ya ziada kufuatilia & kuelewa kauli za Lissu.
Lissu, amewafundisha Mawakili wa Serikali sheria, mawakili ambao wanaonekana HAWANA HAJA ya kuendelea na hii kesi – hawajajipanga kabisa. Kwa kifupi, Lissu aneonesha Umma kuwa hawa Mawakili huenda wanatekeleza maagizo yaliyo nje ya taratibu za mfumo wa kisheria (ndio maana hawako serious).
Kwa kifupi, Lissu amefanikiwa kuanika UJINGA & UOVU wa hizi taasisi ndani ya dakika tano za mwanzo tu. Sasa huyu mtu akipewa siku nzima ajitete si haya majamaa yatakimbia mahakamani. Ngoja tusubiri tarehe 1 Jul 25.
Mungu ni mkubwa. ✌🏻
We salute @TunduALissu’s pursuit of self-representation, as it clear that he has been illegally denied proper, confidential access to our colleagues in Tanzania. We will keep fighting for him, and for the people of Tanzania, on the international stage.