Retweet ziwe kwa Lissu na Like ziwe kwa Mbowe, tumalize Ubishi mapema kabisa. Tweet hii iwafikie Wajumbe wa CHADEMA waone mtazamo wa watu wa X Ukoje wakiwa wanapiga kura leo.
@airtel_tanzania Msaada.Kila muamala ukikosea kutoa katika code hii 874044 ukipiga 100 kuomba urudishiwe muamala unaambia wakala katoa pesa yote.Fatilieni hili maana Mimi Ni Wakala wa mtandao X na hiyo namba wateja wanapoteza hela zao kupitia namba hiyo?