“Sifuna is saying a lot. Unfortunately, some of us have a short-sighted way of looking at things,” – A Kenyan woman explains why the rule of law and constitutionalism are the only ways this country can be liberated.
Senator Edwin Sifuna: Mheshimiwa Babu amesema anataka kuwa Gavana. Nimekaa Senate miaka minne na nimegundua ya kwamba adui mkubwa wa ugatuzi Kenya hii ni Mheshimiwa William Samoei Ruto. Babu, utapata taabu sana hata ukiwa gavana na ukiwa na rais ambaye anataka kumaliza ugatuzi.
#NairobinaSifuna #LindaMwananchi