Hofu imeendelea kutanda katika baadhi ya maeneo nchini Venezuela baada ya matetemeko makubwa mawili ya ardhi kutokea ndani ya sekunde chache, huku yakifikia ukubwa wa 7.2 na 7.5 katika kipimo cha Richter.
Rais wa mpito Delcy Rodrรญguez ametangaza hali ya hatari nchini humo.