@Twaha_Mwaipaya Am sorry brother @Twaha_Mwaipaya kama utaona huu ni upuuzi ambao si kwako tu Bali unachafua image ya chama pia, hauna tofaut na wapuuzi wengine let's act smart bro
@lifeofmshaba Hata Mimi naweza shauri watu wasikuamini kwasabb sidhan kama ni sahihi kumpaka mtu matope ili wewe uonekane Bora basi wewe ndie htar Zaid ,and ofcourse kuanzia unavoandika post zako I think their is something you lack.
@EsirEid Kwamba angesimama na Iran hata baada ya kuua waandamanaji wa Iran? Au angekuepo after mauaji ? Sometimes we should not speak on behalf of someone let's express our views , Ahsante.
@EsirEid Yanga hajapewa penati it was clear hand ball unasemaje amepewa penati?, Red card amevuta jersey clear amekua awarded second yellow card so kila kitu killkua ni sawa , ambalo naweza sema tukio la baka ni vile referee hakuona ilkua ni straight red card kama hata kundekua na VAR