@SeekNaturalLife Tumia pumzi uliyopewa na Mungu kutafakari namna ya kupingana na magonjwa na umaskini ulio nao itakusaidia sana kuliko kupingana na watu wanao mtafuta Mungu wakati uo uo makahaba ,wafiraji,walevi,wauwaji,wasagaji,unacheka nao kila siku