Tatizo sio kupenda, kwani kila mtu anapenda lakini mzingatie anae kujali maana local brand siku zote ndo tunajali.
Jitahidi sana local brand ni watu na nusu trust it.
Sisi #brotherkakahimself@IsdoryIvo
Dada hiyo brand unayoitafuta kwa kasi ndo inakufanya uliwe na kila mtu,
Hiyo local brand ambayo unaiona na inakujali ni dhahabu siku ikipotea utaimiss.
Oya wanangu ripoti imemfikia lobistars mwenyewe unaambiwa huko naijeria wanatiririka tu
Afu wanajiuliza hii ni lugha gani, Kumbe kiswahili sio maarufu🤣🤣🙌
Oya tuondoke🚀🚀🚀🚀🚀🚀
Mtu mmoja alifiwa na mke wakiwa ktk maziko mara baada ya kushusha jeneza ndan ya kaburi na kuanza kuweka mchanga mara gafla Mtu huyo akaanza kucheka kwa sauti ya juu, watu wakauliza inakuaje? kwa ujasiri mkubwa akajbu kwa mara ya kwanza najua mke wang ana enda wap na atakua safe
I still love u, i miss u every day. But i will not text u because im not an important person now day but i beg u open ur heart once again im around you.
I love you darling