Tunampongeza mwana-diaspora Prudencia Paul Orridge (nรฉe Kimiti) wa Wales kwa kutunukiwa tuzo ya Malkia ya MBE kwa utumishi bora na mchango mkubwa katika jamii anayoishi. Hongera sana Prudencia kwa kuiletea heshima nchi ya uzao wako Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ๐น๐ฟ.