Leo Arusha, nimemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe @SuluhuSamia katika mazishi ya aliekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mama Anna Elisha Mghwira. Taifa limepoteza kiongozi shupavu, hodari, mchapakazi na mnyenyekevu. RIP mama Anna Mghwira