Ukiwa Unagombana Na Mwanamke Wako Alafu Akawa Bado Anakuita Baby Au Mume Wangu Katikati Ya Ugomvi Basi Jua Bado Upo Upande Salama
ππ
Lakini Akianza Kukuita Jina Lako La Shule...
Mzee Jua Kimeumana
ππ€ͺ
Ukigundua Kaka yako ana Mwanamke mwengine nje ya Ndoa usiende kumwambia shemeji yako, kaa chini na Bro umshauri
Lakini
Ikiwa utagundua Shemeji yako ana mpango wa Kando bila kupepesa macho wala kuzunguka nenda Chap kwa Bro mueleze, hiyo ni kesi ya kupambania Ukoo sio ndoa tena.
Kuna muda unakutana na pisi moja Kali, imenyooka
Unachukua namba za SimuβοΈ
Alafu ukifika getoπ, ukikaa ukitulia unaona Bora uifute tu Ile nambaπ€
mambo ya kujiongezea budget za makusudi mda mwengine ni ufala...
Mnaosafiri kuelekea vijijini kwenu December hii
Msinunue vitu mjini au njiani !!!!!
Kanunueni vitu huko huko mkifika kwenye yale maduka yaliyopo vijijini kwenu
Kwa sababu hao ndio wanawakopeshaga Wazazi wako na Ndugu zako wakati haupo
Kawaungisheni hao na Mungu atawabariki
wanaume ni viumbe waliobalikiwa sana AKILI kutoka kwa mungu, ndiomaana mwanamke anaweza kumfanyia Kila kitu mwanaume lakini na bado akamuacha hii ni kutokana naupeo mkubwa alionao kumsoma mtu kama nisahihi kuwa nae au sio sahihi
rudia kusoma tena..!
Wanawake wanalala na wanaowahitaji na wanaume wanalala na wanaopatikana,
lakini piaπ€
wananawake wanaolewa na wanaopatikana na wanaume wanaoa wanaowahitaji.
Mpe laki moja mpenzi wako mbele ya shoga zake, alafu mkumbatie kwa mahaba huku ukimwambia tumia buku nyengine niwekee
akikuwekea iliyobakia tangaza ndoa anakitu uyoo mtafuka mbaliβοΈ