@1960Remija Huu ni upangaji wa matokeo na ni halali kufungiwa kujihusisha na mpira wa Tanzania. Lakini pia upangaji wa matokeo ktk NCHI hii limekuwa ni jambo la kawaida. Kwa upande wenu Yawezekana hamsemi lakini upangaji wa matokeo inafanyika
@TriciaAbou Huyu nae ni nani? Mwenye kosa hapo ni huyo mwanaume japo simjui. Malaya akiondoka harudiwi hata kwa bahati mbaya. Huyo jamaa alikuwa wapi kwenye vikao? Alilala?