π ππ’π‘π ππππ: Klabu ya Olympique Marseille imekamilisha usajili wa winga Msenegal, Ismaila Sarr kwa ada ya uhamisho ya euro milioni 13 na nyongeza kutoka Watford.
Sarr (25) amesaini mkataba wa miaka mitano ya kuitumikia klabu hiyo ya Ligi Kuu Ufaransa mpaka Juni 2028.
#KitengeSports