Kiduku amekuwa nasi bega kwa bega kudai haki.
Tulipokesha kuonesha mshikamano na wf/biashara wa Kariakoo majengo yalipobomoka, au Kanisa la Gwajima lilipovamiwa na polisi, Kiduku alikuwa nasi.
Kila siku anadai haki ya Lissu.
Tusimame naye.
Tudai uhuru wake.
#FreeKiduku
“Nyumba yetu ya mwaka 2024/25 imeshamalizika na sasa tunataka kujenga nyumba mpya ya Ubingwa ya 2025/26, Nyumba hii haiwezi kujengwa kwa kitu kingine isipokuwa nguvu kubwa ya Kiuchumi na ndiyi maana leo hii tunazindua kampeni ya Tofali la UBINGWA.
Tofali hili la Ubingwa ni Ada yako ya Uanachama Mwananchi mwenzangu na huu ndiyo wakati wa kulipa Ada zetu ili kuijenga Yanga imara. - Ally Kamwe Meneja Habari na Mawasiliano
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Habari za Asubuhi Wakuu tunaweza kuendelea na hili mpaka sasa Mama Kupokea Tzs 180,000 tuendelea kum Support Namba yake hii hapa chini 0628255442 Magret Andrea
Tubarikiwe sana🙏
RT ifike mbali zaidi.
Tukipata Reform maana yake uchaguzi utakuwa wa haki, Uchaguzi ukiwa wa Haki maana yake tutapata Viongozi Bora, Tukipata Viongozi Bora maana yake Kodi, Ushuru, Elimu na biashara itakuwa ni kuteleza tu.
Repost Repost Repost
Tumekubaliana na mume wa @HildaNewton21 na mama yake mzazi,wakwe zake, mashemeji na wajomba zake kwamba kesho tutaenda Zanzibar Kizimkazi nyumbani kwa SSH kumpeleka mtoto wa Hilda akanyonye. Kwa hiyo nyumbani kwa SSH kesho kuna ugeni.
Hilda siku zote amekuwa mstari wa mbele kukemea na kupaza sauti katika yale ambayo sio sawa katika jamii let's appreciate her, sisi na kende zetu tupo tupo tu kama mandezi.🥲
#FreeHildaNewton