Mmea haukuwi ipasavyo bila Mkulima kuutunza👨🏽🌾..
Kwenye kuutunza ni kuumwagilia Maji 💦.. kuutowa Majani Mabovu 🍂.. kuulinda na wadudu wasiuharibu 🐜.. ku hakikisha unapata Mwanga 🌦️..
•Huu ni mfano wangu kwake 😌kumtunza Mwenza wangu 😌 ni kuutunza Mmea wangu•